Picha za Yamoto band wakiwa coke studio ,Kenya ziko hapa

Kundi mahiri la muziki Tanzania,YaMoto band wamepata shavu la kushiriki kwenye coke studio huko nchini Kenya.
Yamoto band wamepost picha masaa machache yaliyopita kwenye account yao ya instagram wakionyesha wakiwa ndani ya studio hizo nchini Kenya.

Post a Comment

0 Comments